Yanga yaitungua APR mbele ya wanajeshi wenzao
March 12 klabu ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania ilishuka katika uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda kucheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya wenyeji wao timu ya jeshi APR ya Rwanda. Yanga imeaingia kucheza raundi ya pili ya michuano hii, baada ya kuitoa
0 comments:
Post a Comment