Picha za awali za tambulisho wa Katibu mkuu wa CHADEMA Ndg Dr Vincent Mashinji uliofanyika leo jijini Mwanza mara baada ya hapo jana kuchaguliwa rasmi kuibba mikoba ya ukatibu mkuu wa CHADEMA iliyoachwa na aliyekuwa katibu mkuu DR SLAA.
Blogu hii inalenga kukupatia habari motomoto zinazopatikana bongo na nje ya bongo. ungana nami ili usipitwe na habari kali za bongo.
Enter your email address below to subscribe to our blog.
0 comments:
Post a Comment