Hii Hapa Post ya Mkongo Man Iliyomfanya WEMA Sepetu Kufunguka na Kukanusha Kutoka Kimapenzi na Mkongo Man

 Mkongo Man anayejiita Apocalypse jioni ya leo alipost meseji kwenye ukurasa wake wa Instagram iliyomtaja Wema Sepetu ikionyesha kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao kitu kilichomfanya Wema Afunguke....Soma Hapa Alichoandika Mkongo Man

0 comments:

Post a Comment