Dogo Janja kafanyiwa suprise na kuzawadiwa gari aina ya Benz

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ kwa mara ya kwanza, sasa March 10 2016 wakati yupo katikati ya Interview akihojiwa na Diva usiku kupitia CloudsFM akafanyiwa suprise ya zawadi ya gari

0 comments:

Post a Comment