Baada ya michezo ya mwisho kuchezwa Jumatano na kupatikana timu nane ambazo zitaingia katika hatua ya robo fainali ya kombe hilo hatimaye leo ratiba imetoka.
Baada ya kuchezeshwa droo, ratiba ya kombe hilo ni;
Wolfsburg – Real Madrid
Bayern Munich – Benfica
Barcelona – Atletico Madrid
PSG – Manchester City
Baada ya ratiba hiyo, michezo ya hatua ya robo fainali itaanza kuchezwa April, 5.
SHARE.
0 comments:
Post a Comment