Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa tatu kushto, akikabidhi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema mfano wa hundi yenye thamani ya Shs. Bilioni 19.6
Benki ya CRDB imetoa mkopo wa zaidi ya Shilingi bilioni KUMI na TISA kwa ajili kulipa fidia wakazi wa manispaa ya TEMEKE jijini DSM wanaoishi katika maeneo yaliyopangwa kujengwa miradi ya maendeleo
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi za fedha hizo mkuu wa wilaya ya TEMEKE SOPHIA MJEMA amewataka watendaji wa manispaa hiyo kutumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa.
Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa CRDB CHARLES KIMEI amesema msaada huo umetolewa kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya benki yake.
0 comments:
Post a Comment